July 16, 2026

Vijana ni nguvu kazi muhimu katika maendeleo ya taifa na ili waweze kushiriki kikamilifu katika kukuza uchumi, wanahitaji elimu na ujuzi unaowawezesha kujiajiri na kuanzisha shughuli za uzalishaji Na Hagai Ruyagila Jumla ya vijana 43 kutoka wilaya tatu za Mkoa wa Kigoma, ambazo ni Kasulu, Kibondo na Buhigwe, wamehitimu mafunzo ya ufugaji wa samaki na uchakataji wa mazao ya samaki…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *