July 16, 2026

Malaria ni miongoni mwa magonjwa yanayoendelea kuwa tishio kubwa kwa afya ya jamii, hususan katika nchi za Afrika zikiwemo Tanzania na ugonjwa huu husababishwa na vimelea vinavyosambazwa kupitia mbu aina ya Anopheles Na Emmanuel Kamangu Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma imepokea lita 2,610 za viuadudu vya kudhibiti mazalia ya mbu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *