Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla na kupitia elimu, jamii hupata maarifa, ujuzi na maadili yanayochangia maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa, utekelezaji wa miradi ya elimu unahitaji rasilimali nyingi, utaalamu na ushirikiano kutoka kwa wadau mbalimbali Na Hagai Ruyagila Shirika la Enabel limekabidhi madarasa matatu ya kisasa yanayohamishika…