Kiongozi anapopewa jukumu la kusimamia rasilimali za wanachama, anapaswa kufanya hivyo kwa uwazi na uaminifu na fedha zinazotokana na shughuli za chama zinapaswa kugawanywa kwa haki kulingana na taratibu zilizowekwa Na Mwandishi wetu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru Wilaya ya Kasulu imewafungulia mashitaka viongozi wanne wa chama cha ushirika AMKENI kilichopo kata ya…