Wananchi na wafanyabiashara katika masoko mbalimbali yaliyopo katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuchukua tahadhali ya moto wawapo katika shughuli zao za kila siku ili kuepuka kuwa chanzo cha majanga ya moto Na Hagai Ruyagila Zaidi ya vibanda tisa katika Soko la Muganza, lililopo Kata ya Mganza, Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma…