Huduma bora za afya ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na kuanzishwa kwa huduma za upasuaji katika Hospitali ya Manispaa ya Kigoma Ujiji ni hatua kubwa inayoonyesha jitihada za Serikali katika kuboresha sekta ya afya na kusogeza huduma karibu na wananchi Na Mwandishi wetu Hospitali ya Manispaa ya Kigoma Ujiji iliyoko Wilaya ya Kigoma, imeandika historia kwa kufanya kwa mafanikio…