July 8, 2026

Ushiriki wa wananchi katika shughuli za maendeleo ni msingi muhimu wa kujenga jamii yenye maendeleo endelevu na miongoni mwa shughuli hizo ni kujitolea kushiriki katika ujenzi na matengenezo ya barabara, madaraja, shule na vituo vya afya Na Hagai Ruyagila Wakazi wa Mtaa wa Boma, Kata ya Kimobwa katika Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma, wamejitolea kushiriki katika ujenzi na…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *