Ebola ni ugonjwa hatari wa kuambukiza unaoweza kusababisha madhara makubwa kwa afya na maisha ya watu ikiwa hautadhibitiwa mapema, kuimarisha utayari wa kukabiliana na Ebola katika Mkoa wa Kigoma ni hatua muhimu ya kulinda wananchi na kuhakikisha jamii inaendelea kuwa salama Na Mwandishi wetu Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendesha zoezi la kupima utayari wa watalaam wa Afya na Sekta…