July 6, 2026

Bei ya mazao ya kilimo ina mchango mkubwa katika maisha ya mkulima na maendeleo ya taifa kwa ujumla na miongoni mwa mazao hayo ni tumbaku, ambayo hulimwa katika baadhi ya maeneo nchini Tanzania na kuwa chanzo muhimu cha kipato kwa wakulima na mapato ya serikali Na Hagai Ruyagila Wakulima wa zao la Tumbaku wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameiomba Serikali kuangalia upya bei ya zao hilo ili…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *