Rushwa ni moja ya changamoto kubwa zinazokwamisha maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla kwani huathiri utoaji wa huduma za umma, hupunguza uwajibikaji na kudhoofisha imani ya wananchi kwa taasisi za serikali Na Sadick Kibwana Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Kasulu, Mkoani Kigoma wameiomba Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya hiyo kuongeza elimu ya uelewa wa rushwa…