July 8, 2026

Ukatili wa kijinsia ni tatizo linaloathiri wanawake, wanaume na watoto katika jamii na kwa muda mrefu, jamii imekuwa ikielekeza zaidi macho kwa ukatili dhidi ya wanawake, hali iliyowafanya baadhi ya wanaume wanaopitia ukatili kushindwa kutoa taarifa kwa hofu ya kudharauliwa au kutokuaminiwa. Na Filbert Gabriel Wanaume Mkoani Kigoma wametakiwa kutoa taarifa za matukio ya ukatili…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *