July 10, 2026

Utekelezaji wa mradi wa kituo cha pamoja cha forodha unatajwa kuchochea na kukuza uchumi wa wananchi wa pande zote mbili Tanzania na Burundi Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amemuagiza Mkandarasi wa ujenzi wa mradi wa kituo cha Pamoja cha forodha kinachojengwa Wilayani Buhigwe kwa thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 47 kuongeza kasi ya ujenzi wa mradi huo ili…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *