Katika dunia ya sasa, maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano yamebadilisha kwa kiasi kikubwa namna wanahabari wanavyokusanya, kuchakata na kusambaza habari na majukwaa ya kidijitali yamekuwa nyenzo muhimu katika kazi ya uandishi wa habari, pamoja na fursa hizo, yameibuka pia vitisho vya kidijitali vinavyowaathiri wanahabari, hususan wanawake Na Mwandishi wetu Wakati matumizi…