July 14, 2026

Wazee ni hazina ya taifa na msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na wametumia nguvu, maarifa na uzoefu wao katika kujenga taifa na kulea vizazi mbalimbali kutokana na mchango wao mkubwa, serikali ina wajibu wa kuhakikisha wanapata huduma na ulinzi unaostahili ili waishi maisha yenye heshima na ustawi Na Lucas Hoha Serikali imeahidi kuendelea kuboresha mazingira ya maisha ya wazee…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *