July 20, 2026

Utunzaji wa mazingira ni msingi wa maendeleo endelevu, kwani unalinda afya, uchumi na ustawi wa jamii huku ukihakikisha rasilimali za asili zinadumu kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo Na Emmanuel Kamangu Mradi wa Green Alert unaofadhiliwa na CAF America unaolenga kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi unatarajia kuwafikia wakazi elfu 30 wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu na…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *