SAVE

Mshambulizi wa Ureno Cristiano Ronaldo, 37, anasafiri kurejea Uingereza na atafanya mazungumzo na Manchester United kuhusu mustakabali wake katika klabu hiyo. (Athletic – subscription required)

Lakini Ronaldo ataiambia Manchester United kwamba anataka kuondoka na kwamba hatokubali ofa yao ya mkataba mpya. (Sun)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *