June 18, 2026

Elimu ya kuchukua tahadhari ya mlipuko wa ebola imeendelea kutolewa kwa wananchi huku kukiwa hakuna taarifa za uwepo wa ugonjwa huo hapa nchini. Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya uwepo wa maradhi ya Ebola mkoani hapa huku akisisitiza wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo.

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *