Chuo cha Veta Kigoma kimeendelea kuweka mikakati ya kukabiliana na ukatili kwa kutoa elimu hiyo kwa wanafunzi kupitia dawati la jinsia lililoanzishwa chuoni hapo Na Timotheo Leonard Ukatili wa kijinsia unaendelea kuwa changamoto kubwa katika jamii, hali inayochochea juhudi za wadau mbalimbali kuhakikisha wananchi wanapata elimu na msaada wa kukabiliana na vitendo hivyo.