Capture

LIVERPOOL imeteka nyara usajili wa Manchester United kwa Cody Gakpo licha ya Mshambulizi huyo wa PSV Eindhoven kutarajiwa  kusafiri kwenda Uingereza kwa uchunguzi wa kimatibabu “mara moja” baada ya Reds kukubaliana kwa pauni milioni 37.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *