
Bosi Pep alisema: “Hajajeruhiwa. Alifika mzito. sijui kwanini. “Hakufika katika hali ya kufanya vipindi vya mazoezi na kucheza. Ndiyo maana hawezi kucheza.
Atakapokuwa tayari, atacheza, kwa sababu tunamuhitaji, tunamuhitaji sana.” Phillips alipewa likizo ya siku kumi baada ya Three Lions kushindwa 2-1 na Ufaransa katika robo fainali.
Lakini aliporejea katika Kampasi ya Etihad Jumatano hakuwa katika hali nzuri.