Wanawake ni sehemu muhimu ya jamii na wana mchango mkubwa katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa na ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi, ni muhimu wapatiwe elimu na mafunzo ya uongozi Na Mwandishi wetu Shirika la Enabel limeendelea kutoa fursa mbalimbali katika jamii ambapo wanawake viongozi wapatao 20 kwa ngazi ya umma mkoani kigoma wamepatiwa mafunzo ambayo…