Wauguzi ni nguzo muhimu katika mfumo wa afya na maendeleo ya taifa kwa sababu wanasaidia kuhakikisha wananchi wanakuwa na afya bora na uwezo wa kushiriki katika shughuli za maendeleo Na Emmanuel Kamangu Wauguzi mkoani Kigoma wameaswa kuendelea kuzingatia maadili ya taaluma yao ili kuhakikisha wanatoa huduma bora za afya kwa wananchi, kwa kutanguliza huruma, upendo na utu kwa wagonjwa.