August 26, 2026

Malezi bora ya watoto ni jambo muhimu katika maisha ya kila mtoto na malezi huanzia nyumbani kwa huhusisha namna wazazi au walezi wanavyomlea, kumlinda, kumfundisha au kumpa mahitaji muhimu, mtoto anayepata malezi bora huwa na nafasi kubwa ya kukua akiwa na afya njema, tabia nzuri na uwezo wa kuishi vizuri na watu wengine Na Sofia Cosmas Wazazi na walezi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *