Rushwa ni moja ya vikwazo vikubwa vinavyoathiri maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla kwa sababu hiyo, juhudi za kuzuia na kupambana na rushwa zina umuhimu mkubwa katika kuhakikisha huduma za umma zinatolewa kwa haki na kwa kuzingatia sheria. Na Sadick Kibwana Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Kasulu, Mkoani Kigoma imepokea na kufanya uchunguzi wa malalamiko…