Ukatili wa kijinsia ni moja ya changamoto kubwa zinazoendelea kuathiri jamii nyingi nchini na vitendo hivi vinajumuisha ukatili wa kimwili, kingono, kisaikolojia na kiuchumi, ambavyo huathiri zaidi wanawake, watoto na makundi mengine yaliyo katika mazingira hatarishi Na Tryphone Odace Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari Mkoani Kigoma wamepatiwa mafunzo ya kuwajengea…