Walimu walipokea madawati hayo wametakiwa kutatunza ili yaweze kudumu na kutumika kwa muda mrefu Na Mwandishi wetu Benki ya NMB imekabidhi madawati 150 kwa shule mbalimbali za Wilaya ya Kakonko katika hafla iliyofanyika leo, Juni 24, katika Shule ya Msingi Kiyobela. Hafla hiyo imehudhuriwa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko, Mustapha Mtungwe…