June 23, 2026

Wazazi na walezi wana jukumu kubwa la kuwalea na kuwaandaa watoto wao kwa maisha ya baadaye mbali na kuwapatia elimu na mahitaji muhimu, ni muhimu pia kuwawezesha kiuchumi ili waweze kujitegemea na kuchangia maendeleo ya familia na jamii Na Mwandishi wetu Wazazi na walezi wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwawezesha watoto wao kiuchumi kwa kuwapatia mitaji na kuwaunga mkono…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *