Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amewataka wananchi pamoja na wadau wa usafiri majini kushirikiana na serikali katika kuimarisha usalama wa usafiri majini na ustawi wa mabaharia nchini. Balozi Sirro amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea maadhimishi ya siku ya mabaharia duniani ambayo kitafaifa yatafanyika Mkoani Kigoma na kuwa serikali imeendelea kutambua…