May 27, 2026

Msaada huo unasaidia kuboresha afya za wanafunzi wenye mahitaji maalum kupitia bima hizo, wanafunzi wataweza kupata huduma za matibabu kwa urahisi wanapougua au wanapokumbana na changamoto mbalimbali za kiafya Na Hagai Ruyagila Taasisi ya Usilie Tena kutoka jijini Dar es Salaam imetoa bima za afya kwa wanafunzi 66 pamoja na pea 400 za viatu aina ya Yeyo Yebo kwa wanafunzi wa shule za…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *