20220328_122358
Tanzia:
Prof. Honest Ngowi na dereva wake wamefariki dunia leo asubuhi kufuatia ajali ya barabarani waliyopata aneo la Mlandizi mkoani Pwani.
Wawili hao walikuwa wakielekea mkoani Morogoro.
Endelea kusikiliza Radio Joy 90.5 Fm na tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii kwa taarifa zaidi.#radiojoydigital
#somethingforeveryone

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *