tanfootball~p~CbvBgC2MdFH~1

Timu ya @kasuluunited_fc imetinga nusu fainali mabingwa wa mikoa, Hii ni baada ya kuwatandika bao 1 kwa nunge timu ya City Gold Fc ya Mbeya.Wakiwa katika kundi B timu ya kasulu United imehitimisha michezo yake ikiwa katika nafasi ya pili.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *