June 1, 2026

Kambi ya madaktari ni mpango wa muda mfupi unaowaleta wataalamu wa afya katika jamii ili kutoa huduma za matibabu, uchunguzi na elimu ya afya na kambi hizi zina umuhimu mkubwa katika kuboresha afya ya wananchi, hasa katika maeneo ya vijijini ambako huduma za afya ni chache Na Timotheo Leonard Zaidi ya wananchi elfu mbili na mia tano Mkoani Kigoma, wanatarajia kunufaika na kambi ya siku…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *