
Madiwani na Wananchi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma, wameadhimia kwa pamoja, kuwasaka na kuwakamata Vijana wanaozurura Mitaani na kufanya Uhalifu kwa kuvunja makazi ya watu na kuiba thamani za ndani na kuhatarisha usalama wa watu, ikiwa ni baada ya kutoroka katika familia zao kwa lengo la kutafuta maisha.