May 23, 2026

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amekagua kisha kuzungumza na wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao katika soko la Kibirizi, Manispaa ya Kigoma Ujiji, kufuatia kuungua kwa baadhi ya vibanda vya biashara visivyo vya kudumu, vilivyojengwa jirani na soko hilo. Na Tryphone Odace Mkuu wa Mkoa Kigoma Balozi Simon Sirro ameagiza kufanyika kwa uchunguzi na kuchukuliwa hatua za…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *