Ugonjwa wa Ebola ni hatari kubwa kwa sababu husababishwa na virusi vinavyoenea kwa haraka kupitia kugusana na majimaji ya mwili wa mtu aliyeambukizwa kama damu, mate, jasho, mkojo au matapishi Na Hagai Ruyagila Mkuu wa wilaya ya Kasulu Kanali Isaac Mwakisu amewataka wananchi Wilayani humo kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa virusi vya Ebola ambao tayari umeingia katika nchi jirani.