May 21, 2026

Matumizi sahihi ya mifumo ya serikali ni jambo muhimu katika kuhakikisha uwazi, uwajibikaji na ufanisi katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo na Serikali imekuwa ikiweka mifumo ya kisasa ya usimamizi wa fedha na manunuzi ili kurahisisha utendaji kazi, kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za umma na kuongeza kasi ya utoaji wa huduma kwa wananchi Na Mwandishi wetu Katibu…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *