Mabadiliko ya tabianchi ni changamoto kubwa inayokabili dunia kwa sasa na athari zake zimeonekana kupitia ongezeko la ukame, uharibifu wa mazingira, kupungua kwa misitu na kuharibika kwa ardhi Na Emmanuel Kamangu Serikali kupitia mfuko wa dunia wa mabadiliko ya tabianchi (GCF) wameanza hatua za awali za kupanda miti na kuhamasisha kilimo mseto katika maeneo ambayo yameathiriwa na uwepo…