
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameziagiza halmashauri zote nchini kurahakisha mchakato wa upatikanaji fedha za maendeleo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kwa lengo la kuchochea uchumi kwa jamii na taifa.
Kadislaus Ezekiel anaripoti zaidi.