daraja

Wananchi wa kata ya Nyansha Wilaya ya Kasulu wameilalamikia serikali kwa kuwa changisha fedha kiasi cha shilingi 3500 kila kaya ili kununua mawe ya kujengea daraja ikiwa huu ni mwaka wa tatu na hakuna kinachoendelea licha ya kila kaya kutoa kiasi hicho cha fedha.

Mwandishi wetu Hagai Ruyagila anaripoti zaidi

Ripoti ya Hagai Ruyagila Kutoka Kasulu

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *