KIGMDMMMC

Majeruhi ya muda mrefu ya kiungo mkabaji, Gerson Fraga  huenda yakaifanya klabu ya Simba Sc kumsajili kiungo wa timu ya Taifa ya Uganda, Tadeo Lwanga ili kuziba pengo la Mbrazil huyo atakayekaa nje  ya uwanja hadi mwisho wa msimu huu 2020 hadi 2021

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *