
Waskoti hao walikuwa wamepita miaka 39 bila hata kunusa ushindi dhidi ya Wahispania – mara ya mwisho katika mechi ya kufuzu Kombe la Dunia 1984.
Mashabiki wa Man Utd wanaomba Ten Hag amchezeshe McTominay mbele badala ya Weghorst huku nyota wa Scotland ‘akipika’ Uhispania akiwa na mabao MAWILI.