Capture

MANCHESTER UNITED wanaamini watampata Harry Kane msimu huu wa joto – ikiwa Tottenham itamaliza nje ya nne bora. Wakuu wa Old Trafford wanadhani Spurs kukosa nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa itawafanya wapunguze bei yao ya pauni milioni 100.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *