Huduma za afya karibu na maeneo ya wananchi husaidia kupunguza gharama na muda wa kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya mbali za maeneo Na Mwandishi wetu Wananchi wa Kata ya Sunuka na maeneo jirani wamepata ahueni baada ya kuzinduliwa rasmi kituo cha afya Sunuka, mradi uliogharimu takribani shilingi milioni 400. Kituo hicho kinatarajiwa kuboresha upatikanaji wa huduma za afya na…