Usimamizi wa miradi ya maendeleo una umuhimu mkubwa kwa sababu husaidia kuhakikisha kuwa malengo yaliyokusudiwa yanafikiwa kwa ufanisi na kwa wakati Na Mwandishi wetu Wasimamizi wa miradi katika maeneo mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kutumia fedha za miradi kwa uadilifu kwa kutunza kumbukumbu ya manunuzi ili kuimarisha uwazi na uwajibikaji…