EWAKI
Jumla ya kaya 30 za wazee wenye mahitaji maalumu katika kata ya Murufyiti halmashauri ya mji kasulu Mkoani Kigoma zimepatiwa msaada wa bima za za afya ICHF zilizoboreshwa kutoka shirika la Endeleza wazee Kigoma (EWAKI) ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wazee. Ripoti yake Michael Mpunije inaeleza zaidi,
Michael Mpunije

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *