
Nina kumbukumbu nzuri na Chelsea, Mimi ni mfuasi tu wa hiyo klabu, Sitarudi huko.
Mimi nirudi Chelsea kama kocha? Hapana nadhani Lampard ni mtu sahihi na atafanya nao kazi kubwa,” Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti akiongea na waandishi wa habari kuelekea mchezo wao wa kesho wa #UCL dhidi ya Chelsea.