
Ajali hii imetokea Eneo la Senjere Mkoani Songwe Asubuhi hii.Imehusisha Basi la Kilimanjaro linalofanya safari zake kati ya DAR ES SALAAM~TUNDUMA,
Kwa mjibu wa mashuhuda wanasema Dereva wa Basi alikuwa anajaribu kulipita gasrti lingine sehemu amabayo haikuwa inamtosha kufanya hivyo, kwenye kulazimisha huko dereva wa Lori aliyekuwa mbele yake nae hakuweza kumpisha kutona na mazingira kutomruhusu.
mpaka sasa hakuna taarifa za vifo hadi hapo polisi watakapo thibitisha.
Endelea kufuatilia mitandao yetu ya kijamii na sikiliza Radio Joy 90.5 fm Kigoma Kwa taarifa zaidi.
#somethingforeveryone
#kigomafahariyetu
#radiojoydigital
View this post on Instagram