June 21, 2026

Baadhi ya wakazi wanaoishi maeneo hayo wameonesha kutii agizo la Mkuu wa Mkoa Kigoma huku wakiiomba Serikali kuhakikisha inasogeza huduma zote muhimu katika eneo hilo. Na Mwandishi wetu Serikali Mkoani Kigoma imewataka wananchi waliovamia Hifadhi ya Misitu ya Mkuti na kuishi kwenye vitongoji visivyo rasmi vya Kacheli na Lugufu relini katika Kijiji cha Zeze Wilayani Kasulu mkoani hapa…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *