Katibu tawala wa Wilaya ya Kasulu Mkoani kigoma amesema vijana hawana budi kutumia mikopo inayotolewa na serikali iweze kuwasaidia kujiingizia kipato kupitia shughuli mbalimbali za uzalishaji mali Na Hagai Ruyagila Vijana wa Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuchangamkia fursa za mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na serikali kupitia Halmashauri mbalimbali nchini ili kusaidia…