June 10, 2026

Katibu tawala Mkoa wa Kigoma Hassan Rugwa amewataka wananchi wa Mkoa wa Kigoma kutoa ushirikiano na kulinda miradi ya maendeleo ambao inaendelea kutekelezwa Na Mwandishi wetu Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Kampasi ya Kigoma, umefikia Asilimia 78.9 huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo Agosti,2026. Kukamilika kwa ujenzi wa taasisi hiyo…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *